2 Nya. 2:6 SUV

6 Lakini ni nani awezaye kumjengea nyumba, ikiwa mbingu hazimtoshi, wala mbingu za mbingu? Nami ni nani basi, hata nimjengee nyumba, isipokuwa kwa ajili ya kufukizia fukizo mbele zake?

Kusoma sura kamili 2 Nya. 2

Mtazamo 2 Nya. 2:6 katika mazingira