2 Nya. 20:10 SUV

10 Na sasa, tazama, wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, ambao hukuwaacha Israeli waingie katika nchi yao, walipotoka nchi ya Misri; lakini wakawageukia mbali, wasiwaharibu;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:10 katika mazingira