2 Nya. 20:2 SUV

2 Wakaja watu waliomwambia Yehoshafati, wakisema, Wanakuja jamii kubwa juu yako watokao Shamu toka ng’ambo ya bahari; na tazama, wako katika Hasason-tamari (ndio En-gedi).

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:2 katika mazingira