2 Nya. 20:29 SUV

29 Ikawa hofu ya Mungu juu ya falme zote za nchi, waliposikia ya kuwa BWANA amepigana juu ya adui za Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:29 katika mazingira