2 Nya. 20:31 SUV

31 Yehoshafati akatawala juu ya Yuda; alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:31 katika mazingira