2 Nya. 20:37 SUV

37 Ndipo Eliezeri mwana wa Dodavahu wa Maresha akatoa unabii juu ya Yehoshafati, akasema, Kwa sababu umepatana na Ahazia, BWANA amezivunja-vunja kazi zako. Zikavunjika merikebu, zisiweze kufika Tarshishi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:37 katika mazingira