2 Nya. 20:6 SUV

6 akasema, Ee BWANA, Mungu wa baba zetu, si wewe uliye Mungu mbinguni? Tena si wewe utawalaye falme zote za mataifa? Na mkononi mwako mna uweza na nguvu, asiweze mtu ye yote kusimama kinyume chako.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:6 katika mazingira