2 Nya. 21:10 SUV

10 Hivyo Edomu wakaasi chini ya mkono wa Yuda, hata leo; wakaasi na Libna zamani zizo hizo chini ya mkono wake: kwa sababu alikuwa amemwacha BWANA, Mungu wa baba zake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:10 katika mazingira