2 Nya. 21:13 SUV

13 lakini umeiendea njia ya wafalme wa Israeli, ukawaendesha katika uasherati Yuda na wenyeji wa Yerusalemu, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu; tena umewaua ndugu zako wa nyumba ya baba yako, waliokuwa wema kuliko wewe;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:13 katika mazingira