2 Nya. 21:20 SUV

20 Alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu miaka minane; akafariki bila kutamaniwa; wakamzika mjini mwa Daudi, ila si katika makaburi ya wafalme.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:20 katika mazingira