2 Nya. 21:7 SUV

7 Walakini BWANA hakupenda kuiharibu nyumba ya Daudi, kwa sababu ya agano alilolifanya na Daudi, na kama alivyomwahidi kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 21

Mtazamo 2 Nya. 21:7 katika mazingira