2 Nya. 22:10 SUV

10 Basi Athalia, mama wa Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaangamiza wazao wote wa kifalme wa nyumba ya Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 22

Mtazamo 2 Nya. 22:10 katika mazingira