2 Nya. 22:2 SUV

2 Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 22

Mtazamo 2 Nya. 22:2 katika mazingira