2 Nya. 23:1 SUV

1 Hata mwaka wa saba Yehoyada akajitia nguvu, akawatwaa maakida wa mamia, Azaria mwana wa Yerohamu, na Ishmaeli mwana wa Yehohanani, na Azaria mwana wa Obedi, na Maaseya mwana wa Adaya, na Elishafati mwana wa Zikri, akapatana nao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:1 katika mazingira