2 Nya. 23:11 SUV

11 Ndipo wakamleta nje mwana wa mfalme, wakamvika taji, na kumpa ule ushuhuda, wakamtawaza awe mfalme; Yehoyada na wanawe wakamtia mafuta, wakasema, Mfalme na aishi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:11 katika mazingira