2 Nya. 23:14 SUV

14 Yehoyada kuhani akawaleta nje maakida wa mamia, waliowekwa juu ya jeshi, akawaambia, Mtoeni nje kati ya safu; naye ye yote amfuataye, na auawe kwa upanga; kwani kuhani amesema, Msimwue katika nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:14 katika mazingira