2 Nya. 23:17 SUV

17 Na watu wote wakaiendea nyumba ya Baali, wakaibomoa; wakavunja-vunja madhabahu zake na sanamu zake, wakamwua Matani kuhani wa Baali mbele ya madhabahu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:17 katika mazingira