2 Nya. 23:20 SUV

20 Akawatwaa maakida wa mamia, na watu wakubwa, na hao watawalao watu, na watu wote wa nchi, akamtelemsha mfalme kutoka nyumba ya BWANA; wakalipitia lango la juu waende nyumbani kwa mfalme, wakamketisha mfalme katika kiti cha ufalme.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:20 katika mazingira