2 Nya. 23:3 SUV

3 Na kusanyiko lote wakafanya agano na mfalme nyumbani mwa Mungu. Akawaambia, Angalieni, mwana wa mfalme atatawala, kama BWANA alivyonena juu ya wana wa Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 23

Mtazamo 2 Nya. 23:3 katika mazingira