2 Nya. 24:12 SUV

12 Na mfalme na Yehoyada waliwapa hao waliofanya kazi ya utumishi wa nyumba ya BWANA; nao wakawaajiri waashi na maseremala ili kuitengeza nyumba ya BWANA, na hao pia wafuao chuma na shaba ili kuitengeza nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:12 katika mazingira