2 Nya. 24:15 SUV

15 Lakini Yehoyada akawa mzee, mwenye umri mwingi, akafa; alipokufa alikuwa na umri wa miaka mia na thelathini.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:15 katika mazingira