2 Nya. 24:26 SUV

26 Na hawa ndio waliomfanyia fitina, Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:26 katika mazingira