2 Nya. 24:5 SUV

5 Akawakusanya makuhani na Walawi, akawaambia, Nendeni mijini mwa Yuda, mkakusanye katika Israeli wote fedha, ili kuitengeneza nyumba ya Mungu wenu mwaka kwa mwaka, mkafanye bidii kuliharakisha neno hili. Walakini Walawi hawakuliharakisha.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:5 katika mazingira