2 Nya. 24:7 SUV

7 Kwa kuwa wana wa Athalia, yule mwanamke mwovu, walikuwa wameibomoa nyumba ya Mungu; na vitakatifu vyote vya nyumba ya BWANA wamewapatia mabaali.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 24

Mtazamo 2 Nya. 24:7 katika mazingira