2 Nya. 25:1 SUV

1 Amazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka ishirini na kenda; na jina la mamaye aliitwa Yehoadani wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 25

Mtazamo 2 Nya. 25:1 katika mazingira