2 Nya. 25:23 SUV

23 Yehoashi mfalme wa Israeli akamtwaa Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia, huko Beth-shemeshi, akamchukua mpaka Yerusalemu, akauvunja ukuta wa Yerusalemu, toka lango la Efraimu mpaka lango la pembeni, mikono mia nne.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 25

Mtazamo 2 Nya. 25:23 katika mazingira