2 Nya. 25:27 SUV

27 Basi, toka wakati alipogeuka Amazia katika kumfuata BWANA, wakamfanyia fitina katika Yerusalemu; naye akakimbia mpaka Lakishi; lakini wakatuma kumfuata mpaka Lakishi, wakamwua huko.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 25

Mtazamo 2 Nya. 25:27 katika mazingira