2 Nya. 25:4 SUV

4 Lakini watoto wao hakuwaua, ila alifanya sawasawa na hayo yaliyoandikwa katika torati, katika kitabu cha Musa, kama BWANA alivyoamuru, akisema, Mababa wasife kwa makosa ya wana, wala wana wasife kwa makosa ya mababa; lakini kila mtu atakufa kwa dhambi yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 25

Mtazamo 2 Nya. 25:4 katika mazingira