2 Nya. 26:14 SUV

14 Uzia akawafanyizia jeshi lote ngao na mikuki, na chapeo, na deraya za madini, na nyuta, na mawe ya kupiga kwa teo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:14 katika mazingira