2 Nya. 26:16 SUV

16 Lakini alipokuwa na nguvu, moyo wake ulitukuka, hata akafanya maovu, akamwasi BWANA, Mungu wake; kwani aliingia hekaluni mwa BWANA, ili afukize uvumba juu ya madhabahu ya kufukizia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:16 katika mazingira