2 Nya. 26:6 SUV

6 Akatoka akapigana na Wafilisti, akauvunja ukuta wa Gathi, na ukuta wa Yabne, na ukuta wa Ashdodi; akajenga miji katika Ashdodi na katikati ya Wafilisti.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 26

Mtazamo 2 Nya. 26:6 katika mazingira