2 Nya. 27:5 SUV

5 Kisha akapigana na mfalme wa wana wa Amoni, akawashinda. Na wana wa Amoni wakampa mwaka ule ule talanta mia za fedha, na kori elfu kumi za ngano, na elfu kumi za shayiri. Hayo ndiyo waliyomtolea wana wa Amoni, mwaka wa pili pia, na mwaka wa tatu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 27

Mtazamo 2 Nya. 27:5 katika mazingira