2 Nya. 28:1 SUV

1 Ahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; wala hakufanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, kama Daudi babaye;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:1 katika mazingira