2 Nya. 28:10 SUV

10 Na sasa mwanuia kuwatawala wana wa Yuda na Yerusalemu, wawe kwenu watumwa na wajakazi; lakini ninyi nanyi je! Hamna hatia zenu wenyewe juu ya BWANA, Mungu wenu?

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:10 katika mazingira