2 Nya. 28:24 SUV

24 Tena Ahazi akakusanya vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, akavikata vipande vipande vyombo vya nyumba ya Mungu, akaifunga milango ya nyumba ya BWANA; akajifanyizia madhabahu katika kila pembe ya Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:24 katika mazingira