2 Nya. 28:3 SUV

3 Tena akafukiza uvumba katika bonde la mwana wa Hinomu, akawateketeza wanawe motoni, sawasawa na machukizo ya mataifa, aliowafukuza BWANA mbele ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 28

Mtazamo 2 Nya. 28:3 katika mazingira