2 Nya. 29:11 SUV

11 Basi wanangu, msijipurukushe sasa, kwa kuwa BWANA amewachagua ninyi msimame mbele yake, kumhudumia, nanyi mpate kuwa watumishi wake, mkafukize uvumba.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:11 katika mazingira