2 Nya. 29:16 SUV

16 Nao makuhani wakaingia nyumbani mwa BWANA, katika mahali pa ndani, ili waisafishe, wakatoa uchafu wote waliouona hekaluni mwa BWANA, wakautupa nje uani mwa nyumba ya BWANA. Walawi wakautwaa, ili wauchukue nje mpaka kijito cha Kidroni.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:16 katika mazingira