2 Nya. 29:30 SUV

30 Tena Hezekia mfalme na wakuu wakawaamuru Walawi, wamwimbie BWANA sifa kwa maneno ya Daudi, na ya Asafu mwonaji. Wakaimba sifa kwa furaha, wakainama vichwa, wakaabudu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:30 katika mazingira