2 Nya. 29:32 SUV

32 Na hesabu ya sadaka hizo za kuteketezwa walizozileta kusanyiko ikawa ng’ombe waume sabini, kondoo waume mia, na wana-kondoo mia mbili; hao wote walikuwa ni sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:32 katika mazingira