2 Nya. 29:35 SUV

35 Na tena sadaka za kuteketezwa nazo zilikuwa nyingi, pamoja na mafuta ya sadaka za amani, na sadaka za kinywaji kwa kila sadaka ya kuteketezwa. Hivyo ikatengezeka huduma ya nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:35 katika mazingira