2 Nya. 29:8 SUV

8 Kwa hiyo hasira ya BWANA imekuwa juu ya Yuda na Yerusalemu, naye amewatoa kuwa matetemeko, wawe ushangao, na mazomeo, kama mwonavyo kwa macho yenu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:8 katika mazingira