2 Nya. 3:11 SUV

11 Na mabawa ya makerubi hayo urefu wake ulikuwa mikono ishirini; bawa moja mikono mitano, likiufikilia ukuta wa nyumba; na bawa la pili mikono mitano, likishikana na bawa la kerubi la pili.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 3

Mtazamo 2 Nya. 3:11 katika mazingira