2 Nya. 3:3 SUV

3 Basi hii ndiyo misingi ya majengo ya nyumba ya Mungu aliyoiweka Sulemani. Urefu wake kwa mikono ya cheo cha kwanza ulikuwa mikono sitini, na upana wake mikono ishirini.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 3

Mtazamo 2 Nya. 3:3 katika mazingira