2 Nya. 30:1 SUV

1 Hezekia akatuma wajumbe kwa Israeli wote na Yuda pia; akawaandikia nyaraka Efraimu na Manase, waje nyumbani kwa BWANA Yerusalemu, ili wamfanyie pasaka BWANA, Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:1 katika mazingira