2 Nya. 30:13 SUV

13 Basi wakakusanyika Yerusalemu watu wengi ili kuifanya sikukuu ya mikate isiyochachwa katika mwezi wa pili, kusanyiko kuu sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:13 katika mazingira