2 Nya. 30:21 SUV

21 Nao wana wa Israeli waliohudhuria Yerusalemu wakafanya sikukuu ya mikate isiyochachwa siku saba kwa furaha kubwa; Walawi na makuhani wakamsifu BWANA siku kwa siku, wakimwimbia BWANA kwa vinanda vyenye sauti kuu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:21 katika mazingira