2 Nya. 31:10 SUV

10 Azaria kuhani mkuu, wa nyumba ya Sadoki, akamjibu, akasema, Tangu watu walipoanza kuleta matoleo nyumbani kwa BWANA, tumekula na kushiba, na kusaza tele; kwa kuwa BWANA amewabariki watu wake; na kilichosalia ndiyo akiba hii kubwa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:10 katika mazingira