2 Nya. 31:14 SUV

14 Na Kore, mwana wa Imna, Mlawi, bawabu wa mlango wa mashariki, alizisimamia sadaka za hiari za Mungu; ili kugawa matoleo ya BWANA, navyo vitu vilivyokuwa vitakatifu sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:14 katika mazingira