2 Nya. 31:16 SUV

16 zaidi ya wale waliohesabiwa kwa nasaba ya wanaume, wenye miaka mitatu na zaidi, kila mmoja aliyeingia nyumbani mwa BWANA, kama ilivyopasa kazi ya kila siku, kwa huduma zao katika malinzi yao, kwa kadiri ya zamu zao;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:16 katika mazingira